Maajabu ya ulimwengu wa Pandora yanarudi tena! James Cameron amethibitisha kuwa movie mpya ya Avatar: Fire and Ash itakuwa na mapinduzi makubwa zaidi ya teknolojia kuliko movie zote zilizopita.
Safari hii, tutaona upande wa pili wa viumbe wa Na'vi wanaoitwa "Ash People". Hawa ni viumbe wa moto ambao ni wakali na wana nguvu za ajabu, tofauti na wale wa majini na misituni tuliowazoea.
Mashabiki wengi wamekuwa wakijiuliza, je Jake Sully na familia yake wataweza kuhimili vishindo vya viumbe hawa wapya? Tarehe rasmi ya kutoka imetajwa kuwa ni February 2026 na maandalizi yote yameshakamilika.
Ili kuona picha za kwanza (First Look) na sehemu ya Trailer iliyovuja, bonyeza kitufe hapa chini sasa hivi ujionee maajabu hayo kabla hazijafutwa YouTube.

Comments
Post a Comment